Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
engine ipi mkuu 3s au 1G?Altezza gari nzuri nimekaa nayo zaidi ya mwaka sasa nimesafiri nayo sana spea bei nafuu na ukipata four kama yangu haili mafuta ila ukileta ma speed inakuua gari inakimbia sana!!
Usijifanye unajua kila kitu zingine acha zipite Be forward ni company wewe unasema ni gari
notedNoticed
Hahahahahahabe forward ni gari zuri haili mafuta sana kama alteza!!
Yote ya nini haya...nunua kupatana na peleka kwa fund aichunguze kwanza
BMW 3 series zina matatizo ya gearbox? Nani kakuambia? BMW ipi? Yaani mzee umeniudhi ulivyosema hivi ata kazini kesho siendi.izo nasikia zina ubovu sana wa gearbox boy
Ndo hivyo, tena Kwa sasa kodi utakuwa imepanda zaidiReference Number1516444099
Make:SUBARU
Model:FORESTER
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2001
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1501 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):2555.00
Import Duty (USD):638.75
Excise Duty (USD):159.69
Excise Duty due to Age (USD):958.13
VAT (USD):816.90
Custom Processing Fee (USD):15.33
Railway Dev Levy (USD):38.33
Total Import Taxes (USD):2627
Total Import Taxes (TSHS):5676947
Vehicle Registration Tax (TSHS): 380000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 6056947
wakuu naomba kujuzwa naona kama sielewi nimejaribu kuweka figure kwenye kikotoo cha TRA lakini nachoona ni kama gharama za TRA ni kubwa kuliko kulinunua gari na kulisafirisha mpaka bongo gharama halisi ya ya mpaka gari linafika bongo ni 3,438,600 sasa hii imakaaje au mimi ndio sielewi wakuu?naomba msaada
Du!!!be forward ni gari zuri haili mafuta sana kama alteza!!
Nina bajeti ya 11.5mJaman nataka kuagiza moja kati ya haya naomba ushauri wenu...mnyama yupi ana unafuu hasa kwa hapa dar...naishi alimaua kijitonyama
1.toyota avensis
2. Toyota allion
3. To7yota premio