Nataka kununua biashara ya playstation (gamecenter)

Nataka kununua biashara ya playstation (gamecenter)

mavaldo

Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
7
Reaction score
2
Natafuta biashara inayouzwa ya playstation (gamecenter) iwe maeneo ya daressalam, anayeuza ofisi yake naomba tuwasiliane
0718029972
 
Natafuta biashara inayouzwa ya playstation (gamecenter) iwe maeneo ya daressalam, anayeuza ofisi yake naomba tuwasiliane
0718029972
Unataka kununua ofisi yaani fremu yote pamoja ma vifaa vyake au unataka kununua vifaa tu peke yake mfano TV & PS Kwa ujumla.?
 
Back
Top Bottom