Nataka kununua body spray, ipi itanifaa?

kwa experience yangu (coz sina product maalum huwa nachange product ya perfume/spray pale tuu inapoisha, over 10 yrs since nimeanza kutumia ), harufu za body spray huwa hazidumu. They only last for two or three hrs, tena nazo ni chache like Royale Blue,Galaxy sIII, Bellagio, Fighting temptation few to mention. Lakini kama unataka kuwa na harufu inayolst longer bora ununue perfumes. Hizi i can guarantee u zinalast up to 24hrs. Kwa sasa ninatumia Galaxy perfume inakaa kwenye nguo hata siku tatu, hata nikiifua nguo na bado inakuwa ina harufu. Harufu yake iko poa sana sio kali ya kuumiza pua.
 
Spray za Nivea pia huwa zinadumu. Atlist hizo zinadumu, yes.
 
Sha ngapi hiyo galaxy
 
Kwani mwanzo kabla ya kuuliza hapa JF ulikua unatumia ipi?
 
Activelle toka oriflame kwa.sh 8500 tuu
 
Hyo perfume ya galax inauzwa shingap??
 
Beragio yenye ufito mwekundu chini itakufaa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…