Nataka kununua body spray, ipi itanifaa?

Nataka kununua body spray, ipi itanifaa?

Nahis hata kopo lake linatishaa
Bahati mbaya picha imekataa kupanda, ningekuonesha kopo la perfume hiyo,miaka hiyo ya tisini kwa mimi mtoto wa uswahilini nilionekana nipo matawi ya juu sana.
 
Dolby iko vizuri mno.. ila kwa sasa natumia Global man - Issey miyake ( body spray ) napiga na Givenchy - Pi (perfume)

Hugs kila kona kutoka kwa warembo..lol

Wewe tutaelewana.......hao wa souvenir de rasasi......amsoreee.....
 
Ha
Bahati mbaya picha imekataa kupanda, ningekuonesha kopo la perfume hiyo,miaka hiyo ya tisini kwa mimi mtoto wa uswahilini nilionekana nipo matawi ya juu sana.
Aaaahaaaa haya bwana....
 
0555425ab540dd77ed31752c72f5585b.jpg
 
Mh vp ukiamua ku tumia orgnal products for once! Inaitwa Bod Worlds best Man deodorant! I bought mine kwa Sn cosmetics wako Mwenge near Nakiete pharmacy wow they stock orgnal products a bit expensive thouh walah utasema perfume last mpaka kesho yake napenda dark ice scent very nice they sell around 30/35/40 tzs kwa zaid just google it!
 
ok Nakushauri ununue smart, ni nzuri sanaaa kwa wananume, sh 5000 tu na inapatika kiwepesi wap upo nikuelekekze dukani kwangu uje?

Anunue smart au spray zinazotoka kampuni ya smart collection?
 
Back
Top Bottom