Nataka kununua body spray, ipi itanifaa?

Mbona za Masaa 7 hazipatikani Kwa digit hizo labda uogee Giv utanukia,,,natania tu mkuu
 
ImageUploadedByJamiiForums1459594449.354516.jpg
hii iko poa
 
Habari zenu wana JF,

Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakini sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea. Kama waifahamu body spray yoyote yenye sifa hizo na inauzwa bei kuanzia 5000 hadi 10000 naomba nitajie.

Asanteni
Feeling or secreat
 
Cobra
 
Back
Top Bottom