hio mama ukitoka bilioneaaz mpaka mbezi injini si itapasuka?Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo.
Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!!
Natanguliza shukrani
Ni kweli hii gari ni nzuri na pia ni powerfull.Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo.
Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!!
Natanguliza shukrani
Ni kweli hii gari ni nzuri na pia ni powerfull.
Lakini tatizo linakuja kwenye spea. spea zake ni adimu (hapa Tanzania) na pia ni ghari sana.
Unaweza ukaipaki kwa kuikosa spea ndogo tu.
Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo.
Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!!
Natanguliza shukrani