Nataka kununua Daihatsu Terrios Kid

Nataka kununua Daihatsu Terrios Kid

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,749
Reaction score
1,000
Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo.
Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!!
Natanguliza shukrani
 
Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo.
Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!!
Natanguliza shukrani
hio mama ukitoka bilioneaaz mpaka mbezi injini si itapasuka?
 
Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo.
Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!!
Natanguliza shukrani
Ni kweli hii gari ni nzuri na pia ni powerfull.
Lakini tatizo linakuja kwenye spea. spea zake ni adimu (hapa Tanzania) na pia ni ghari sana.
Unaweza ukaipaki kwa kuikosa spea ndogo tu.
 
Ni kweli hii gari ni nzuri na pia ni powerfull.
Lakini tatizo linakuja kwenye spea. spea zake ni adimu (hapa Tanzania) na pia ni ghari sana.
Unaweza ukaipaki kwa kuikosa spea ndogo tu.

seriously,gari ya cc650 haiwezi kuwa powerful............
 
Faida kubwa ni kwamba inasave mafuta bila ya kiasi na ni nzuri kwa foleni za Dar. Na kwa vile iko juu basi hata kwenye barabara mbovu inahimili maumivu. Kwani kutoka Mbezi au Bunju mpaka mjini utatembea na spidi ngapi mpaka uhitaji land cruiser au nissan patrol?

Kwa kweli mimi ile imenivutia sana. Hiyo na Toyota Cami ni dugu moja.

Sidhani kwamba spares ni shida nilikuwa naona matangazo ya gari hizo. Sina uhakika kwamba hakuna duka la spares Kariakoo.
 
Kwanza napenda kutoa Asante kwa msaada wenu wana jamii.
Hilo Kuna m2 mmoja nimepoteza contacts zake lakini alikua anaenda Arusha Dar. Kipindi hicho nilikua sina interest nazo so sikuhangaika kummulizia So kwa swala la safari ndefu nafikiri Haina tatizo.
Thanks again Guys!!
 
Back
Top Bottom