labda ameipata kwa mtu ila bado ajainunua so amekuja kupata A,B,C za Gari kwanzaKichwa cha habari kama unavyotaka kutuaminisha ni tofauti na habari uliyoileta
Pitia tena ulichoandika hiyo itakusaidia siku zijazo
Mkuu semaa kama hujaelewa na hujaelewa wap kuliko kunifundisha kuandka..... Au eleza kile ulichoelewa mana tunatofautiana uelewaa....... I thnk am right nilichoandka......... Kupata si kumiliki... AsanteeKichwa cha habari kama unavyotaka kutuaminisha ni tofauti na habari uliyoileta
Pitia tena ulichoandika hiyo itakusaidia siku zijazo
weka kwanza budget yako mkuu raia wanaweza wakaja na best optionNashukuru kwa kunielewaa..... Twende kwny majib mr. King
Nashukuru sanaa ndugu nitaufanyia kaz ushauri wako,........ Naomba kujua spear zake upatikanaji wake ukoje!?!?... Na vp ulaji wa mafuta!??Pajero hawana spare za bei poa kama Toyota ingawa ni gari imara Sana Kwa maisha yetu ya kibongobongo.
Nakushauri kama unanunua Kwa mtu nenda na fundi ili alikague hasa Kwenye upande wa engine na gearbox lakini kama mfuko wako uko poa chukua
Muhimu Hilo pajero kama ni namba C au D hapo utafurahia
Kwann aliweka injini ya haice!?? Yake vp?.......... Mana nalotaka kuchukua ni old halfu ni kwaajil ya kunipgia kaz flanChukua mtambo huo. Kuna jamaa alimiliki mtambo kama huo. Alichokifanya ni kubadili injini kwa kuweka ya hiace inayotumia dizeli. Ngoma inakimbia hatari, nzito halafu manual. Alifanyia tu modii ya mounting kwa sababu ilitofautiana kidogo na injini original ya gari.
Kwann aliweka injini ya haice!?? Yake vp?.......... Mana nalotaka kuchukua ni old halfu ni kwaajil ya kunipgia kaz flan