Nataka kununua gari aina ya pajero

Nataka kununua gari aina ya pajero

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
554
Habari wana JF!!..... kama title inavyojieleza, nimepata gari aina ya Pajero (old) naomba kujua kama spear zake bado zipo, pia uzur na ubaya wake.............karibu wajuvi wa mambo ya magar

Natanguliza shukrani......
 
Kichwa cha habari kama unavyotaka kutuaminisha ni tofauti na habari uliyoileta
Pitia tena ulichoandika hiyo itakusaidia siku zijazo
 
Mkuu semaa kama hujaelewa na hujaelewa wap kuliko kunifundisha kuandka..... Au eleza kile ulichoelewa mana tunatofautiana uelewaa....... I thnk am right nilichoandka......... Kupata si kumiliki... Asantee
 
Pajero hawana spare za bei poa kama Toyota ingawa ni gari imara Sana Kwa maisha yetu ya kibongobongo.
Nakushauri kama unanunua Kwa mtu nenda na fundi ili alikague hasa Kwenye upande wa engine na gearbox lakini kama mfuko wako uko poa chukua

Muhimu Hilo pajero kama ni namba C au D hapo utafurahia
 
Nashukuru sanaa ndugu nitaufanyia kaz ushauri wako,........ Naomba kujua spear zake upatikanaji wake ukoje!?!?... Na vp ulaji wa mafuta!??
 
Chukua mtambo huo. Kuna jamaa alimiliki mtambo kama huo. Alichokifanya ni kubadili injini kwa kuweka ya hiace inayotumia dizeli. Ngoma inakimbia hatari, nzito halafu manual. Alifanyia tu modii ya mounting kwa sababu ilitofautiana kidogo na injini original ya gari.
 
Kwann aliweka injini ya haice!?? Yake vp?.......... Mana nalotaka kuchukua ni old halfu ni kwaajil ya kunipgia kaz flan
 
Nadhani hakutaka kuumiza kichwa kutafuta injini mpya ya gari husika maana angeshindwa tu kwenye utunzaji wake.
 
Back
Top Bottom