Nataka kununua gari iliyotumika(Harrier tako la nyaniI)

Mpuretamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,376
Reaction score
2,285
Habari zenu humu ndani? Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Nimefikia uamuzi wa kununua gari iliyotumika hapa Bongo. Gari ninayoitaka ni yenye sifa zifuatazo:
Aina ya gari: Toyota harrier (Tako la nyani)
Mileage : Isizidi Kms 100,000
Ukubwa wa Engine: 2.4
Rangi yeyote isipokuwa nyekundu
Namba kuanzia D
Iwe katika hali nzuri kwa ujumla.
Bajeti yangu ni kati ya Milioni 14-15.
Karibuni tuyajenge.
 
Asante kwa kutukaribisha ili tuyajenge...

Kwanza kwa hiyo bajeti yako harrier tako la nyani huwezi kupata...labda ukutane na mtu anataka kuuziwa nyumba kwa mikopo ya Bank au aliyekumbwa na matatizo mengine ya kidunia mf kuuguza.

Pili, ni hatari sana kununua gari bongo lenye mileage chini ya 100000...nyingi wamezichakachua kuwavutia wateja coz watu wameshajua kucheza na akili za watanzania..
Fahamu zetu zimetekwa kwenye namba D na mileage chini ya 100k

Tatu, ukinunua tako la nyani kwa bajeti hiyo, nusu ya muda wako wa wiki nzima utautumia garage kuliko kazini au kwa familia yako.

Bajeti hiyo unaweza kupaya Harrier old model namba B au C yenye hali nzuri sana..

Nadhani nimeyajenga kwa kiasi changu.[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nashukuru kwa ushauri.. Ngoja nipate maoni ya wengine then ntaamua..nimependa ushauri wako.
 
Mkuu hio bei unaweza kupata hizo harrier hasea ukilinunua kwa mwenye gari sio kwa dalali wewe pambana hata ukipata dalali uonane na mwenye gari hapo utaukata mzizi wa fitina
 
Asante kwa kunifumbua macho. Ukipata mwenye nayo tukutane hapa hapa
 
Niliwahi kuona mtu analiuza facebook sema ni 3000CC namba ni D milioni 16 page ya Cardealers weww nenda facebool search hio page andika harrier utaziona kibao
 
Huna wivu wala chuki, nimekuelewa sana
Asante kwa kutukaribisha ili tuyajenge...

Kwanza kwa hiyo bajeti yako harrier tako la nyani huwezi kupata...labda ukutane na mtu anataka kuuziwa nyumba kwa mikopo ya Bank au aliyekumbwa na matatizo mengine ya kidunia mf kuuguza.

Pili, ni hatari sana kununua gari bongo lenye mileage chini ya 100000...nyingi wamezichakachua kuwavutia wateja coz watu wameshajua kucheza na akili za watanzania..
Fahamu zetu zimetekwa kwenye namba D na mileage chini ya 100k

Tatu, ukinunua tako la nyani kwa bajeti hiyo, nusu ya muda wako wa wiki nzima utautumia garage kuliko kazini au kwa familia yako.

Bajeti hiyo unaweza kupaya Harrier old model namba B au C yenye hali nzuri sana..

Nadhani nimeyajenga kwa kiasi changu.[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Asante kwa kutukaribisha ili tuyajenge...

Kwanza kwa hiyo bajeti yako harrier tako la nyani huwezi kupata...labda ukutane na mtu anataka kuuziwa nyumba kwa mikopo ya Bank au aliyekumbwa na matatizo mengine ya kidunia mf kuuguza.

Pili, ni hatari sana kununua gari bongo lenye mileage chini ya 100000...nyingi wamezichakachua kuwavutia wateja coz watu wameshajua kucheza na akili za watanzania..
Fahamu zetu zimetekwa kwenye namba D na mileage chini ya 100k

Tatu, ukinunua tako la nyani kwa bajeti hiyo, nusu ya muda wako wa wiki nzima utautumia garage kuliko kazini au kwa familia yako.

Bajeti hiyo unaweza kupaya Harrier old model namba B au C yenye hali nzuri sana..

Nadhani nimeyajenga kwa kiasi changu.[emoji41][emoji41][emoji41]
Zipo Old model nyingi tu used namba D kwa 15M
 
Niliwahi kuona mtu analiuza facebook sema ni 3000CC namba ni D milioni 16 page ya Cardealers weww nenda facebool search hio page andika harrier utaziona kibao
Asante sana kwa kunilengesha mahali penye hizo mambo.. Thanks much.
 
Asante kwa kutukaribisha ili tuyajenge...

Kwanza kwa hiyo bajeti yako harrier tako la nyani huwezi kupata...labda ukutane na mtu anataka kuuziwa nyumba kwa mikopo ya Bank au aliyekumbwa na matatizo mengine ya kidunia mf kuuguza.

Pili, ni hatari sana kununua gari bongo lenye mileage chini ya 100000...nyingi wamezichakachua kuwavutia wateja coz watu wameshajua kucheza na akili za watanzania..
Fahamu zetu zimetekwa kwenye namba D na mileage chini ya 100k

Tatu, ukinunua tako la nyani kwa bajeti hiyo, nusu ya muda wako wa wiki nzima utautumia garage kuliko kazini au kwa familia yako.

Bajeti hiyo unaweza kupaya Harrier old model namba B au C yenye hali nzuri sana..

Nadhani nimeyajenga kwa kiasi changu.[emoji41][emoji41][emoji41]
Umeongea pointi sana mkuu.
Tunaojua tumekuelewa.
Nimenunua kwa mtu toyota runx mwaka 2015 no.B ikiwa na 127k km mpaka sasa ina 140k km ngoma inapiga mzigo kama imetoka japan jana.
Wenye no.D wamenunua kwa watu saizi wamepaki juu ya mawe.
 
Kabisa mkuu...
Watu wengi hatufahamu....unakuta gari imetumika Zanzibar imechoka...inaingizwa bara inasajiliwa upya namba D....kisha mtu anajilengesha anapugwa za uso..
 
Back
Top Bottom