Nataka kununua gari, ipi itafaa kati ya Kluger, Qashqai, Dualis ama Harrier Old Model

Nataka kununua gari, ipi itafaa kati ya Kluger, Qashqai, Dualis ama Harrier Old Model

Mtapenda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
1,115
Reaction score
2,063
Nataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.

Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD.

Gari ninazo zipenda
1. Dualis
2. Qshqai
3. Kluger
4. Harrier Old Model
5. Subaru Forester

Zote ziwe na 4WD naomba uchambuzi wenu wajuzi wa mambo na masuala ya magari mimi kama kijana lipi litanifaa pia napokea ushauri wa gari mbadala wa hayo.

Ahsante
 
Hiyo..5s engine cc 2163.

1595840407524.jpeg
 
Nataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.

Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD...
Chukua lolote tu hapo maana hujaweka magari ya kupewa ushauri. Ingekuwa Mercedes au BMW au Audi au Volvo au Landrover ungeitaji ushauri
 
Nataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.

Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD.

Gari ninazo zipenda...
Klugger

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom