Mtapenda
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 1,115
- 2,063
Nataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.
Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD.
Gari ninazo zipenda
1. Dualis
2. Qshqai
3. Kluger
4. Harrier Old Model
5. Subaru Forester
Zote ziwe na 4WD naomba uchambuzi wenu wajuzi wa mambo na masuala ya magari mimi kama kijana lipi litanifaa pia napokea ushauri wa gari mbadala wa hayo.
Ahsante