Chukua lolote tu hapo maana hujaweka magari ya kupewa ushauri. Ingekuwa Mercedes au BMW au Audi au Volvo au Landrover ungeitaji ushauriNataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.
Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD...
KluggerNataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.
Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za vijijini yaani gari yenye 4WD.
Gari ninazo zipenda...
Sijawahi kuikuta gereji wala bara barani ikiwa imezima. Wengi niliowaona nazo wamekaa nazo kwa muda, means wako satisfied..Dualis na Qashqai yana utofAuti gani na kwann umechagua dualis mkuu