MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,005
Mnyama
Nissan Xtrail New Model
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nissan Xtrail New Model
New Model naona Kama wamejaza makorokoro mengi Sana. Imekaa Kama unaenda Kitchen Party
Wakielekea kwenye mabonanza Yao kuchukua fedha.Nawaona wachina wanadunda nazo sanaa vijijini pamoja na harrier old model inaonekana ngumu mnoo
UNYAMA mwingiMnyama Dualis
Unyama gani? Hakuna.UNYAMA mwingi
yenye true 4wd ina afadhali kuliko AWD.Gari ya 4WD halafu inywe mafuta vizuri? Haijaundwa bado
4WDyenye true 4wd ina afadhali kuliko AWD.
Chukua kluger V mnyama Kaka.