Nataka kununua gari mwakani pamoja na kujenga wakuu

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,498
Reaction score
27,813
Habari za miaka kadhaa wakuu kwema ni mm fundi bishoo bishoo fundi napenda kuwajulisha kuwa mwakani nataka kujenga na kununua gari nashukuru pia nmeoa kwa sasa nina familia na pia na majukumu asanteni

Yes bishoo haswaaaaa
 
Kwa nini mnakweos kununua gari, au wese kila siku lins panda, nunua hata electrical car
Upo sahihi mkuu,
Kuhusu gari hatukwepi zaidi sana tunaangalia uhitaji wa kumiliki hilo gari. Akimaliza kujenga ataangalia sasa uhitaji/umuhimu wa kuwa na gari ASAP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…