cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Jaribu mkuu ujionee uko ibiza, akati uko charambe kwa mbiku.Hiyo combination kali. Ntajaribu ๐
๐๐๐
Jaribu mkuu ujionee uko ibiza, akati uko charambe kwa mbiku.Hiyo combination kali. Ntajaribu ๐
๐๐๐ hatarii hiyoo.Dah kama umeona ๐๐
Nimemaliza kuchoma hapa naona plans zinaflow tuu
Aamke huyu,,, asije akanya kitandani
Pesa itafutwe kwa nguvu zote..!!Ppesa Yako TU ๐ madam, 4 months unakabaziwa mjengo
Siku hizi umeacha kutype kinge bishoo ๐น๐นsio rahisi la mamaaa ila kijichumba na sebupe tu mkuu hii ndoto nataka niitimize kodi inaumiza la mama hasa sisi ambao tunajitafta tumeanza humu mnatulea wenyewe hadi leo
Siku hizi umeacha kutype kinge bishoo ๐น๐น
Nilihisi nafananisha I'd, afu nikajuaga yuko mamtoni au laah south.Siku hizi umeacha kutype kinge bishoo ๐น๐น
๐น๐น๐น Mhmm..!!maisha yapo nduki la mamaaa lakin bDo nimo english yangunimenyooka sana
Mamtoni na kinge chake cha kuunga na super glue? ๐น๐น๐นNilihisi nafananisha I'd, afu nikajuaga yuko mamtoni au laah south.
๐๐๐๐
๐๐๐Mamtoni na kinge chake cha kuunga na super glue? ๐น๐น๐น
Nilikua nikisoma kinge chake huwa nacheka mpaka machozi..!! ๐น