Watu wengi wanaibiwa na hawa waagiza magari kwenye msemo ( Pamoja na Usajili)
Registration fee ipo kwenye malipo ya TRA. Na huwezi lipia kodi bila registration. Hapo wanakuibia 500K
Halafu Kwa nini mtu usiagize mwenyewe......?
Process zinabadilika ukiagiziwa........tofauti na ukiagiza mwenyewe........?........
Gari unazoweza kuipata kwa bei hiyo ingali inatembea kwenye list hazipo.Husika na lengo tajwa, nataka kununua gari ndogo na mapendekezo yangu binafsi ni kama ifuatavyo
1.Funcargo
2.Porte
3. Vitz
4. Sienta
5. Ist
Je?, kwa wenye uzoefu juu ya gari tajwa apo juu ipi ipo confortable kuliko nyingineyo katika mapendekezo yangu(ushauri wenu pls)
My budget range from 6 up to 6.5mil
Halafu Kwa nini mtu usiagize mwenyewe......?
Process zinabadilika ukiagiziwa........tofauti na ukiagiza mwenyewe........?........