Nataka kununua gari ushauri wa kitaalam

Nataka kununua gari ushauri wa kitaalam

alex255

Senior Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
119
Reaction score
48
Husika na lengo tajwa, nataka kununua gari ndogo na mapendekezo yangu binafsi ni kama ifuatavyo

1.Funcargo

2.Porte

3. Vitz

4. Sienta

5. Ist

Je?, kwa wenye uzoefu juu ya gari tajwa apo juu ipi ipo confortable kuliko nyingineyo katika mapendekezo yangu(ushauri wenu pls)

My budget range from 6 up to 6.5mil
 
Mkuu nisikilize. kwanza upo wapi?

Kwa bajeti hiyo huwezi pata gari mpya kwa bei hiyo ila kwa mtu sawa.

kama unahitaji kuagiza mpya kutoka Japani ongeza bajeti yako lakini kwanza waone Kimomwe MOTORS wanapatikana Magomeni mapipa DSM mkabala na kituo cha mwendokasi.
hawa jamaa wanatoa elimu kuhusu magari na wanaagiza gari kwa gharama nafuu kabisa kwani wao wanalipwa moja kwa moja na agent wa Japani.

bei zao

Porte ni kuanzia 8.5 milion tsh
I.S.T milion 11.
SIENTA m 10.2

Hizo bei ni pamoja na usajili.
kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nao kwa namba 0746267740
 
Watu wengi wanaibiwa na hawa waagiza magari kwenye msemo ( Pamoja na Usajili)
Registration fee ipo kwenye malipo ya TRA. Na huwezi lipia kodi bila registration. Hapo wanakuibia 500K
 
Watu wengi wanaibiwa na hawa waagiza magari kwenye msemo ( Pamoja na Usajili)
Registration fee ipo kwenye malipo ya TRA. Na huwezi lipia kodi bila registration. Hapo wanakuibia 500K

Halafu Kwa nini mtu usiagize mwenyewe......?
Process zinabadilika ukiagiziwa........tofauti na ukiagiza mwenyewe........?........
 
Hakuna gari ya hiyo bei hapo labda km unataka kujifunza ufundi
Czan kma usha wai fanya research ya kutosha mkuu, au ndio nyie mtu akimilik gari ata vitz mnadhan kanunua mil 50
 
Husika na lengo tajwa, nataka kununua gari ndogo na mapendekezo yangu binafsi ni kama ifuatavyo

1.Funcargo

2.Porte

3. Vitz

4. Sienta

5. Ist

Je?, kwa wenye uzoefu juu ya gari tajwa apo juu ipi ipo confortable kuliko nyingineyo katika mapendekezo yangu(ushauri wenu pls)

My budget range from 6 up to 6.5mil
Gari unazoweza kuipata kwa bei hiyo ingali inatembea kwenye list hazipo.
Passo
Nissan Note
Mazda na
Suzuki Kei
 
Halafu Kwa nini mtu usiagize mwenyewe......?
Process zinabadilika ukiagiziwa........tofauti na ukiagiza mwenyewe........?........

Unaweza kuagiza lakini una uzoefu wa kufanya hivyo?. Kampuni kama Kimomwe motors wanaagiza gari kwa niaba yako na all risks zinakuwa kwao na si kwako.Gharama zao ni nafuu sana kiasi kwamba hata ukiagiza mwenyewe utaona kwamba hakuna ulichosevu.
 
Back
Top Bottom