Nataka kununua gari ya kutembelea ila sijui chochote kuhusu gari

satong

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
260
Reaction score
311
Wadau,

Naomba mwenye kujua kuhusu gari imara na inayotumia mafuta kidogo especially used from Japan, pia ni vitu gani vya msingi napaswa kujua kabla sijamiliki gari?

Ahsanteni
 
Wadau,

Naomba mwenye kujua kuhusu gari imara na inayotumia mafuta kidogo especially used from Japan, pia ni vitu gani vya msingi napaswa kujua kabla sijamiliki gari?

Ahsanteni
mkuu humu hutaambulia kitu, mtafute fundi wa magari jirani yako atakushauri, ila humu utaambulia kejeri
 
gari imara na inayotumia mafuta kidogo especially used from Japan, pia ni vitu gani vya msingi napaswa kujua kabla sijamiliki gari?
1. Je bajeti yako ni kiasi gani? - Bajeti ndio itakuchagulia gari stahiki.
2. Mafuta kidogo! - Hapo ingine size isizidi 1.5L.
 
1. Je bajeti yako ni kiasi gani? - Bajeti ndio itakuchagulia gari stahiki, kwa maelezo uliyotoa.
2. Mafuta kidogo! - Hapo ingine size isizidi 1.5L , iwe chini ya hapo,
Bajeti isizidi 8.5M
 
Ahsante kwa ushauri mkuu....Je hiyo ya kuagiza direct inakwenda mpaka mil ngap ?
 
Kwa bei hyo itatosha kuagiza passo from japan pamoja na ushuru kila kitu kasoro bima tu
Cc: renyo msuya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…