Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Feb 4, 2018 #41 mwandende said: Unataka ushauri gani? Wewe kalia siti angalia mbele tu... Kanyaga mafuta na break basi,,, hakuna jingine... Click to expand... Hahaahah mbona hujasema ashike usukani, au gari itajiongoza yenyewe?!
mwandende said: Unataka ushauri gani? Wewe kalia siti angalia mbele tu... Kanyaga mafuta na break basi,,, hakuna jingine... Click to expand... Hahaahah mbona hujasema ashike usukani, au gari itajiongoza yenyewe?!
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Feb 4, 2018 #42 Extrovert said: Hahaahah mbona hujasema ashike usukani, au gari itajiongoza yenyewe?! Click to expand... Usukani ni lazima mkuu,hauhitaji kufundishwa...
Extrovert said: Hahaahah mbona hujasema ashike usukani, au gari itajiongoza yenyewe?! Click to expand... Usukani ni lazima mkuu,hauhitaji kufundishwa...