mimi sio mtaalamu ila naomba kuuliza tu kuwa kuna hasara ya wanao shusha mileage nikiwa na maana kwa wewe mnunuzi ni madhara gani utapata..Mkuu kujua kama ODDO ipo manipulated unaomba file la gari..kwenye file la gari kunakua na documebt ya TBS inayoonesha gari imekaguliwa ikiwa na kilometer ngapi sasa ukiona unauziwa garri ya yard na hauwepi attachment ya TBS na gari inasoma low mileage jua hapo tayari umeshapigwa...
Spare za gari zinatakiwa zibadilishwe kutokana na umbali gari iliotembea mfano water pump, timing belt, etc kwaio ukiwa hauna taarifa hizo unaweza jikuta unaendesha gari unalalamika gari hii kimeo etcmimi sio mtaalamu ila naomba kuuliza tu kuwa kuna hasara ya wanao shusha mileage nikiwa na maana kwa wewe mnunuzi ni madhara gani utapata..
asante sana mkuu nimekuelewa vizuri sanaSpare za gari zinatakiwa zibadilishwe kutokana na umbali gari iliotembea mfano water pump, timing belt, etc kwaio ukiwa hauna taarifa hizo unaweza jikuta unaendesha gari unalalamika gari hii kimeo etc
Iko sawa mkuu...Mkuu kujua kama ODDO ipo manipulated unaomba file la gari..kwenye file la gari kunakua na documebt ya TBS inayoonesha gari imekaguliwa ikiwa na kilometer ngapi sasa ukiona unauziwa garri ya yard na hauwepi attachment ya TBS na gari inasoma low mileage jua hapo tayari umeshapigwa...
Shukrani mkuu umeniongezea kitu.Mkuu kujua kama ODDO ipo manipulated unaomba file la gari..kwenye file la gari kunakua na documebt ya TBS inayoonesha gari imekaguliwa ikiwa na kilometer ngapi sasa ukiona unauziwa garri ya yard na hauwepi attachment ya TBS na gari inasoma low mileage jua hapo tayari umeshapigwa...
Kwa faida yangua sijui nifafanulie ODDO meter ni nini nisinepigwa nikiwa nanunua gariNamuelekeza hapa ananiletea ujuaji.... Muache aende Yard akapewe gari nzuri yenye ODO meter.
Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza Japan direct. Bongo Gari zinapitia Zanzibar zinatembelewa hata miaka 2 then zikija huku wanang'oa zile plate number unauziwa tenaOptions zote mbili ziko mezani bro! Nataka kufanya ulinganisho wa gharama
ODO meter ni ile sehemu ya kuonyesha ishara na alama mbali mbali kwenye dashboard ambayo inakuonyesha umbali ambao gari imetembea tokea ilipoanza tumika kwa mara ya kwanza.Kwa faida yangua sijui nifafanulie ODDO meter ni nini nisinepigwa nikiwa nanunua gari
IODO meter ni ile sehemu ya kuonyesha ishara na alama mbali mbali kwenye dashboard ambayo inakuonyesha umbali ambao gari imetembea tokea ilipoanza tumika kwa mara ya kwanza.
Naaambatanisha na picha hapo chini uone pahala ilipo.....
Tazama hapo kwenye namba za digital. Ingawa kuna gari especially za miaka ya nyuma hizo namba wanatumia mfumo wa namba za kujizungusha.