MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
mimi sio mtaalamu ila naomba kuuliza tu kuwa kuna hasara ya wanao shusha mileage nikiwa na maana kwa wewe mnunuzi ni madhara gani utapata..Mkuu kujua kama ODDO ipo manipulated unaomba file la gari..kwenye file la gari kunakua na documebt ya TBS inayoonesha gari imekaguliwa ikiwa na kilometer ngapi sasa ukiona unauziwa garri ya yard na hauwepi attachment ya TBS na gari inasoma low mileage jua hapo tayari umeshapigwa...