Nataka kununua gari

Nataka kununua gari

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,525
Reaction score
3,139
Ni matumaini yangu muwazima


Ninataka kununua gari,mojawapo ya hayo magari huwa napenda harrier lexus au nissan xtrail wajuzi wa mambo naombeni mnipe details za haya magari na bei zake kwa sasa.
1476687495315.jpg
1476687517114.jpg
1476687639708.png
1476687649674.png
1476687657405.png
1476687665611.png
 
Kama wewe ni mpare usichukue harrier haikufai utakuja kulia chukua x trail ila kama kwenu mna kisima cha mafuta chukua lexus
 
ok wakuu nitazingatia sn maoni yenu
 
Back
Top Bottom