Nataka kununua godoro

Kwel kbs,mim kila nikilala asbh naamka mgongo ukiwa unauma.kwhyo hapo shida godoro et
Hilo godoro unalotumia lina ujazo mdogo
Kwa hiyo mbonyeo wake ni mkubwa ndio maana hufanya mgongo ukuume na hasa linavyozidi kuchoka

Unashauriwa upate godoro zuri original density kuanzia 23

Sikushauri ukanunua tena density ndogo utajiongezea tatizo


Ila kama una umri mkubwa na tatizo la muda mrefu godoro za wote wanaosumbuliwa na mgongo zipo
Orthopedic mattress zina spring ndani pia density yake ni 28
Hizi 5x6 inchi 8 ni 550,000 boss
 
Kwa kigezo Cha density naona vita supreme yuko juu zaidi ya tanfoam.
Maana vita supreme density yake ni 23 na tanfoam 18.

Vita Supreme ni density 28 mkuu, na huo ndo uimara wa godoro…. si vinginevyo…. kila kampuni inatoa matoleo tofauti tofauti kuendana na bei ya soko hivyo usikalili kampuni.

Mfano TanFoam kuna godoro hadi lenye density 32, hivyo ni muhimu kuzingatia unapolinganisha.
 
Vita Supreme ni density 28 mkuu, na huo ndo uimara wa godoro…. si vinginevyo.
Aaah kumbe nilipunguza!!??.
Kwakweli Mimi mwenyewe ninatumia vita supreme Iko poa sana.
Jambo la kuzingatia ni kununua vita supreme na siyo vita foam.
Pia vita supreme kwenye godoro kwa ndani Kuna muhuri wa moto kwa pembeni ambapo hata ukipapasa Kwa mkono unauhisi huo muhuri
 
Nko dar mkubw
Nenda keko/Chang"ombe mbozi road..kuna mtaa unaitwa Dakawa street/Dakawa Road kwa mbele hapo kona ukiulizia Godown ya magodoro utapata hapo..wana magodoro ya aina zote unayoyajua wewe na hata mawakala wengine huwa wanachukua hapo kwa bei ya kiwandani na wanawauzia huku wengine kwa bei ya juu kidogo (ili wapate ugali kidogo)
 
Vita Supreme ni density 28 mkuu, na huo ndo uimara wa godoro…. si vinginevyo.
Leo nimepata elimu ingine juu ya uimara wa godoro, Naomba unijuze kwenye magodoro tukiongelea density tunamaanisha nini?

Na je density ya godoro Dodoma QFL ni ngapi na ubora wake ukoje?
 
Leo nimepata elimu ingine juu ya uimara wa godoro, Naomba unijuze kwenye magodoro tukiongelea density tunamaanisha nini?

Na je density ya godoro Dodoma QFL ni ngapi na ubora wake ukoje?

Density ni kipimo cha 'ujazonene' wa hizo sponji za godoro, kadri inavyokuwa kubwa ndo ubora wake…. ni kama 'gauge' kwenye mabati japo kwenye bati ni kinyume cha namba na ubora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…