Nataka kununua Heavy Motor Bike aina ya Kawasaki ila ushauri ninaopata kwa walionizunguka ndio napata uoga

Hiyo ml saba unapata ractis safi kabisa ndugu ndugu hapa ninapotype mwili wote na mkono unauma vibaya mno,ni takribani wiki mbili tangu nipige mzinga mmoja matata sana wa piki piki nikaapa mimi na piki piki basi tena jichunguze tabia yako kwanza katika chombo kinahitaji uwe mwanaume na sio mvulana basi ni piki piki na kingine nilichogundua unawez kuwa makini sana lakini akatokea jamaa wa visendo na kiduku cha rasta akakusababishia ajali kwa ujinga wake ,nb kanunue gari
Tunawaita vishandu hao, jamaa wana hatari sana, dogo mmoja alikuwa anaingiza gia kwa mkono na chuma ipo speed.. bahati mbaya lakini ni marehemu kwa sasa, utambulisho wao we angalia sendo na turasta na pikipiki imefungwa spika zinapigwa singeri tu
 
Chukua chuma hiyo achana na hao washamba wa magari
Mm ninayo KTM, hizi bike zina raha yake sana.
Hapo ahida sio hiyo Pikipiki, shida ni huyo sele. Una uhakika yupo Zanzibar? Kuwa makini wengi matapeli sana
Sele nadhani ni muhuni tu.maana hamna siku namba yake inapatikana.na page yake ya insta kuna muda inapotea na kurudi.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Fanya mchezo kuagiza ki IST Befoward Kwa 2000$ Andika on transit ,Na kulipia paper kwa Transit utatozwa Kama 1.3M fanya inaenda zambia Au malawi Alafu irejeshwe nchini

Option 2 agiza kigari chochote cha 6M to dar Alafu nunua cheses number ya gari lolote ambalo ama lilipata ajali Au limeharibika of the same mode Alafu jifanye umefufua hilo maana TZ mnatuhusiwa kufufua ila Tatizo litasoma namba A-D haitasoma Kama gari linaloingizwa

Britanicca
 
Ahsante kwa ushauri mkuu [emoji120]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Fanya mchezo kuagiza ki IST Befoward Kwa 2000$ Andika on transit ,Na kulipia paper kwa Transit utatozwa Kama 1.3M fanya inaenda zambia Au malawi Alafu irejeshwe nchini

Option 2 agiza kigari chochote cha 6M to dar Alafu nunua cheses number ya gari lolote ambalo ama lilipata ajali Au limeharibika of the same mode Alafu jifanye umefufua hilo maana TZ mnatuhusiwa kufufua ila Tatizo litasoma namba A-D haitasoma Kama gari linaloingizwa

Britanicca
Hivi hii process inasaidia kweli, au ndio gari ikirudishwa haulipi excess?
 
Fanya mchezo kuagiza ki IST Befoward Kwa 2000$ Andika on transit ,Na kulipia paper kwa Transit utatozwa Kama 1.3M fanya inaenda zambia Au malawi Alafu irejeshwe nchini

Option 2 agiza kigari chochote cha 6M to dar Alafu nunua cheses number ya gari lolote ambalo ama lilipata ajali Au limeharibika of the same mode Alafu jifanye umefufua hilo maana TZ mnatuhusiwa kufufua ila Tatizo litasoma namba A-D haitasoma Kama gari linaloingizwa

Britanicca
Hapa kwenye usajili inakuwaje boss kwa hiyo mbinu ya on transit
 
Ile 1.M iliyobaki kwenye ile 7.M ndio inashughulikia hili.
  1. Hatua ya kwanza ni zile BL zinapelekwa border kuwa stamped kuwa hiyo gari imeondoka Bongo ikavuka boda. Hizi unazitunza.
  2. Hatua ya pili ni vijana wanaingia kazini na kukuletea full registration hadi plate number, vyote ni genuine ila vya gari nyingine.
  3. NB. Ikitokea kuna mtu mwingine ana gari kama hiyo ikaibiwa na kuripotiwa polisi, then inaweza kusumbua kidogo, maana vehicle inspector wanaingiza diagnostic cable italeta chassis number na engine number tofauti na kwenye card, hivyo unawaonyesha zile OG BL, wale jamaa itakubidi uwapooze kidogo.
  4. The best way ni kulipa tuu kodi zote uka drive kwa amani!.
  5. Watu wanacheza Micheal hiyo kwasababu ukiagiza kitu kizuri kodi yake ni killing!, hivyo vijana wa mujini wamebuni njia ya kukwepa kodi.
P
 
Back
Top Bottom