Nataka kununua komputa desktop kwa ajili ya kurusha movies na nyimbo ipi model yenye kasi?

Bajeti yangu ni laki 3 na 30 wakuu asanteni.
Movie na Series huhitaji computer yenye nguvu sana Around laki na nusu hivi inatosha.

Ukipata workstation ni vyema zaidi ili ikupe ports za kutosha na expansion slot nyingi kama Sata, Molex, Pcie Etc.

Kuifanya iwe faster inunulie SSD na ram za kutosha, movies weka kwenye HDD na windows pamoja na programs muhimu kama browser, download managers, software za ku convert etc weka kwenye ssd.

Usiangalie model angalia tu specification recomended tafuta angalau i7 gen ya 4 kama i7 4790 ama i7 4770, ila ukipata i5 yake ama i3 yake sio mbaya kwa kazi zako. Kariakoo mitaa ya likoma na Ndada zimejaa kibao hizi desktop niliwahi chukua moja ya i3 kama 130,000 hivi.
 
Mkuu ulipata mpya au
 
Mkuu,nimekuwa nikikufuatilia sana kwenye haya mambo ya science na technology hasa computer,naomba unishauri ni laptop ipi naweza kuipata Kwa budget ya 350-400k Kwa matumizi ya gaming?
Kwa hio budget unatafuta i5/i7 zinazoishiwa na H ama HQ gen ya 6 kupanda, zenye Quadro GPU, japo Quadro sio gaming gpu ila kibongo bongo ndio zinakua bei rahisi.

Kuna mdau alikua anauza juzi tu hapa jukwaani ila naona ameimark kama sold, ila ukicheki FB marketplace unapata

Kama hio naona jamaa wanaipost sana i7 6820HQ kwa Quadro M1000 kama sijakosea, nyengine zinaenda hadi M3000
 
Shukrani sana mkuu,barikiwa
 
Back
Top Bottom