Semi automatic mara nyingi spea zake ni rahisi na hata zikiharibika ni rahisi fundi wa mtaani kukutengenezea,
Budget yako kubwa unapata brand nzuri kama LG, Hisense etc sina uzoefu wa karakana zao ila vyema tafuta duka lenye warranty ya maandishi na uhakikishe wana sehemu ya kutengeneza zikiharibika.
Pia angalia maswali ya juu ya jamaa hizi machine zipo nyingi na uwezo hutofautiana.