Nataka kununua mbwa aina ya bull dog. Ni wapi nitapata?

Nikuletee kutoka south Africa una dollar 3500
 
Mimi natafuta chihuahua wa kumpakata kuondoa stress
 
Fuga mbwa wa kawaida hao wakigeni yanaweza kutokea ya Kingunge.
 
Kama upo dar mtafute bugalee hua anauza aina mingi za 🐕 huko mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…