Nataka kununua mitsubishi pajero jr-ushauri wataalam wa magari

Nataka kununua mitsubishi pajero jr-ushauri wataalam wa magari

bushman

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,413
Reaction score
747
Wakuu kuna mkoko nimeuona kwenye website moja nimevutiwa nao, kama ilivyoada mimi sio wa kwanza kwa tz kutumia gari kama hiyo naomba mnisaidie kujua ubora wake na upatikanaji wa spare kwa waliowahikulitumia gari kama hilo. Gari yenyewe ni mitsubishi pajero jr
 
Back
Top Bottom