Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,812
- 1,373
Wewe mwalimu inakufaa carina t.iwakuu habari za muda??
kuna jamaa yangu anataka kuniuzia NISSAN EXTRAIL naomba wenye uzoefu na hizi gari kuhusu ulaji wake wa mafuta vipuli vyake garama zake zikoje?? hivi hii gari ipo poa kwa mimi mwalimu??
Itakutesa sana hiyo gariwakuu habari za muda??
kuna jamaa yangu anataka kuniuzia NISSAN EXTRAIL naomba wenye uzoefu na hizi gari kuhusu ulaji wake wa mafuta vipuli vyake garama zake zikoje?? hivi hii gari ipo poa kwa mimi mwalimu??
Itamtesa na kitu gani? Mweleze ajue...mafuta vipuri au nn?Itakutesa sana hiyo gari
Hivyo vote ulivyo taja kwa gari hiyo ni tatizo lakin pia kwa mwalimu hasa na mshahara wake kimo cha mkia wa sungura itamsumbua lakin pia board lake halivumilii mikiki mikiki lila legea na kupoteza mvuto mapema sana.Itamtesa na kitu gani? Mweleze ajue...mafuta vipuri au nn?
Hivyo vote ulivyo taja kwa gari hiyo ni tatizo lakin pia kwa mwalimu hasa na mshahara wake kimo cha mkia wa sungura itamsumbua lakin pia board lake halivumilii mikiki mikiki lila legea na kupoteza mvuto mapema sana.
Nunua bila hofu it's a nice car and economical. ..8yrs experience
Wewe kuwa nayo kwa miaka minne haitosh kuwa sababu ya kuzi value kama zina ubora na pia sio kigezo cha kuona kama sijawahi miliki xtrail maana kuna vitu ving hapo kama matumiz yako ,barabara unayo tumia kila siku ni ya aina gani,utunzaji wako na namna unavyo iendesha , lakin katika ubora wa bodi huwezi kulinganisha na rav4 L au v hata kama utatumia off road lakin pia nissan unaweza kuipaki hata wiki ukisubiro spare toka dar au nairobi na ciusumbufu sumbufu ving visivyo lazima,Sina uhakika kama wewe umewahi kumiliki Nissan Xtrail. Nina mwaka wa 4 sasa natumia Nissan Xtrail bodi lake ukiliona utadhani ya mwaka huu
Wewe kuwa nayo kwa miaka minne haitosh kuwa sababu ya kuzi value kama zina ubora na pia sio kigezo cha kuona kama sijawahi miliki xtrail maana kuna vitu ving hapo kama matumiz yako ,barabara unayo tumia kila siku ni ya aina gani,utunzaji wako na namna unavyo iendesha , lakin katika ubora wa bodi huwezi kulinganisha na rav4 L au v hata kama utatumia off road lakin pia nissan unaweza kuipaki hata wiki ukisubiro spare toka dar au nairobi na ciusumbufu sumbufu ving visivyo lazima,
mie yangu nina mwaka wa 4 ni gari nzuri sana. spare ni gharama lakin ukifunga ni mkataba haziharibiki hovyo. Nilifunga ball joint tokea 2014 mpaka leo sijawahi badili, kabla ya hapo nilikua na GX 100 kila baada ya miezi mitatu nilikua nabadilisha bal joint
Ulikuwa unafunga fake huwezi fananisha hilo kimeo xtrail na gx100
Wewe mwalimu inakufaa carina t.i
Kwa ujumla mwalimu wangu achana na gari hiyo unless wewe ni mwalimu wa Bandarini au TRA au mwalimu wa ma traffic