Nataka kununua NISSAN EXTRAILL

Nataka kununua NISSAN EXTRAILL

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,812
Reaction score
1,373
wakuu habari za muda??
kuna jamaa yangu anataka kuniuzia NISSAN EXTRAIL naomba wenye uzoefu na hizi gari kuhusu ulaji wake wa mafuta vipuli vyake garama zake zikoje?? hivi hii gari ipo poa kwa mimi mwalimu??
 
Wewe mwalimu inakufaa carina t.i
 
wakuu habari za muda??
kuna jamaa yangu anataka kuniuzia NISSAN EXTRAIL naomba wenye uzoefu na hizi gari kuhusu ulaji wake wa mafuta vipuli vyake garama zake zikoje?? hivi hii gari ipo poa kwa mimi mwalimu??
Itakutesa sana hiyo gari
 
Dah ... roof yake ipo chini na viti vyake vya nyuma vimebana sana..hasa ukivilaza ili upumzike...itakukosesha starehe bure[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Itamtesa na kitu gani? Mweleze ajue...mafuta vipuri au nn?
Hivyo vote ulivyo taja kwa gari hiyo ni tatizo lakin pia kwa mwalimu hasa na mshahara wake kimo cha mkia wa sungura itamsumbua lakin pia board lake halivumilii mikiki mikiki lila legea na kupoteza mvuto mapema sana.
 
Kuna moja inauzwa m7 huku..very clean car..spare ndo expensive ukiwa unaprefer org..ila ipo vzuri chukua hutojutia..
 
Mkuu,engine za xtrail ni vimeo sana. Zikisha korofisha kidogo tu ndio kufa kwake..plus spare ni expensive kama alivyosema mdau hapo. Ulaji wa mafuta ni wa kawaida tu, approximately 1L/8Km. Ila pia lina space ya kutosha na ni very confortable.
 
Hivyo vote ulivyo taja kwa gari hiyo ni tatizo lakin pia kwa mwalimu hasa na mshahara wake kimo cha mkia wa sungura itamsumbua lakin pia board lake halivumilii mikiki mikiki lila legea na kupoteza mvuto mapema sana.

Sina uhakika kama wewe umewahi kumiliki Nissan Xtrail. Nina mwaka wa 4 sasa natumia Nissan Xtrail bodi lake ukiliona utadhani ya mwaka huu
 
Nunua bila hofu it's a nice car and economical. ..8yrs experience

mie yangu nina mwaka wa 4 ni gari nzuri sana. spare ni gharama lakin ukifunga ni mkataba haziharibiki hovyo. Nilifunga ball joint tokea 2014 mpaka leo sijawahi badili, kabla ya hapo nilikua na GX 100 kila baada ya miezi mitatu nilikua nabadilisha bal joint
 
Sina uhakika kama wewe umewahi kumiliki Nissan Xtrail. Nina mwaka wa 4 sasa natumia Nissan Xtrail bodi lake ukiliona utadhani ya mwaka huu
Wewe kuwa nayo kwa miaka minne haitosh kuwa sababu ya kuzi value kama zina ubora na pia sio kigezo cha kuona kama sijawahi miliki xtrail maana kuna vitu ving hapo kama matumiz yako ,barabara unayo tumia kila siku ni ya aina gani,utunzaji wako na namna unavyo iendesha , lakin katika ubora wa bodi huwezi kulinganisha na rav4 L au v hata kama utatumia off road lakin pia nissan unaweza kuipaki hata wiki ukisubiro spare toka dar au nairobi na ciusumbufu sumbufu ving visivyo lazima,
 
Ukitaka kununua gari ambalo halina kasoro labda utengeneze mwenyewe, Fanya utafiti mdogo tu kuhusu bodi tafuta xtrail 6 zenye namba A linganisha na Rav 4 6 zenye namba A. Xtrail nyingi nzoziona mm hata zenye namba A bodi zake bado naziona imara na zimetulia wala hazijabadili shape. Rav 4 nyingi za zamani zina matege ukiziangalia vizuri. Suala la spare, spare nyingi za Xtrail ni original na ukifunga unakaa nazo muda mrefu sana. nilibadili ball joint mwaka wa tatu huu sasa sijabadili, wakati nilikua na GX 100 kila baada ya miezi mitatu nilikua nabadilisha ball joint
 
mie yangu nina mwaka wa 4 ni gari nzuri sana. spare ni gharama lakin ukifunga ni mkataba haziharibiki hovyo. Nilifunga ball joint tokea 2014 mpaka leo sijawahi badili, kabla ya hapo nilikua na GX 100 kila baada ya miezi mitatu nilikua nabadilisha bal joint

Ulikuwa unafunga fake huwezi fananisha hilo kimeo xtrail na gx100
 
Kwa ujumla mwalimu wangu achana na gari hiyo unless wewe ni mwalimu wa Bandarini au TRA au mwalimu wa ma traffic
 
Back
Top Bottom