Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 560
Sasa mkuu tangu Pixel 3a moaka saivi miaka mingapi imepita na probability kupata mpya tizi, anaenda kuoambanishwa ma refurbished.Kama unahitaji simu kwa ajili ya picha kwa hiyo bajeti nadhani Google pixel 3a itakufaa, tena na chenji inabaki
hivi zinakaa na chaji kweliKama unahitaji simu kwa ajili ya picha kwa hiyo bajeti nadhani Google pixel 3a itakufaa, tena na chenji inabaki
hizo mpya tunazipataje maana nying usedSasa mkuu tangu Pixel 3a moaka saivi miaka mingapi imepita na probability kupata mpya tizi, anaenda kuoambanishwa ma refurbished.
Kupata Flagship zinzokaa na chaji lazima mkono unyooke vya kutoshahivi zinakaa na chaji kweli
Kwa matumizi yangu huwa nachaji usiku mpaka usikuhivi zinakaa na chaji kweli