Nataka kununua presha kuka (pressure cooker) ya umeme, kampuni gani nzuri?

Nataka kununua presha kuka (pressure cooker) ya umeme, kampuni gani nzuri?

Usinunue ya digital ile yenye button na kascreen. Don't. Nunua ya kuzungusha.

Mi msaada wangu huo tu.

PS: Nnazo zote. Ya digital uchafu. Sio kwangu tu na kwa wengine nimeona.
Mkuu tunaweza pata picha ili tununue kilicho bora
 
Back
Top Bottom