S salari JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,045 Reaction score 5,397 Sep 23, 2017 #1 Habari wanajamiiforums, Nataka kununua toyota nadia yenye engine ya 3S mwenye uzoefu nayo naomba anipe -Mazuri yake -Mabaya yake Natanguliza shukrani za dhati kwa wote watakaonisaidia!
Habari wanajamiiforums, Nataka kununua toyota nadia yenye engine ya 3S mwenye uzoefu nayo naomba anipe -Mazuri yake -Mabaya yake Natanguliza shukrani za dhati kwa wote watakaonisaidia!
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 23, 2017 #2 Gear leaver yake si unajua lakini ilipo? Otherwise ni gari nzuri.
S salari JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,045 Reaction score 5,397 Sep 23, 2017 Thread starter #3 Mad Max said: Gear leaver yake si unajua lakini ilipo? Otherwise ni gari nzuri. Click to expand... Yes kwenye starring pale mkuu si ndiyo? kwa hiyo ina tatizo lolote!
Mad Max said: Gear leaver yake si unajua lakini ilipo? Otherwise ni gari nzuri. Click to expand... Yes kwenye starring pale mkuu si ndiyo? kwa hiyo ina tatizo lolote!