Nataka kununua Toyota Nadia ushauri

Nataka kununua Toyota Nadia ushauri

salari

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,045
Reaction score
5,397
Habari wanajamiiforums,

Nataka kununua toyota nadia yenye engine ya 3S mwenye uzoefu nayo naomba anipe

-Mazuri yake

-Mabaya yake

Natanguliza shukrani za dhati kwa wote watakaonisaidia!
 
Gear leaver yake si unajua lakini ilipo?

Otherwise ni gari nzuri.
 
Back
Top Bottom