Nataka kununua Toyota succeed, naomba ushauri

Nimetumia gari za aina hizo Probox pamoja na Corolla van.Corolla niliyokuwa nikiitumia awali ilikuwa na size 13,gari ilikuwa imetulia sana barabarani. ..unapiga mpaka 140km/h gari iko stable mbaya. ..hii ninayotumia nimefunga size 14 hainifurahishi utulivu wake barabarani.Sasa itategemea pia na mapenzi yako ila unapobadili size ya tairi stability ya gari pia inakuwa tofauti.
 
Mkuu umeweka tyre size gani? hata mmnimenunua hivi karibuni nimeona ipo chini but nimepanga kuinyanyua na Spacer, ushauri wako kuhusu hilo vipi mkuu
kKuna jamaa yangu ameweka tyre size 175-75-15 imenyanyuka vizuri bila spacer.
 
Hiyo ni kweli mkuu, hata watengenezaji wameshauri unapofanya mabadiliko kwenye tyres isizidi au kupungua 3%.
 
kKuna jamaa yangu ameweka tyre size 175-75-15 imenyanyuka vizuri bila spacer.
Mkuu kuweka spacer kuna madhara gani ukilinganisha na kubadirisha tyre size? kwani kwa upande wangu naona kuweka spacer naona ni cheap ukilinganisha na suala la kubadirisha tyre size,, kwani hapo lengo ni kunyanyua gari
 
Upo kama mm,na kwa hakika nitanunua hii na kuipimp kidogo
 
Vp mkuu ulinunua? Vp faida na changamoto za hiyo gari ni zipi??
 
Ndugu wana jamvi hii gari nimeipenda kwanza ina nafasi kubwa ya kubeba mzigo, pili engine cappacity yake ni 1.5. nataka kununua hiyo kuna mwenye uzoefu nayo tusaidiane?
Gari nzuri na gari ya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…