Mkuu, kumbuka Kwacha ina thamani kubwa kuliko Tzs, sasa hicho kiasi kikubwa cha Kwacha zote za nini ?Heshima mbele wakuu..Nina safari ya Lusaka Jumatano ijayo ambako nitakaa kwa wiki moja.
Ni nataka kununua kwacha milioni moja ambazo nitazitumia kama pocket money kwa kipindi chote nitakacho kuwa Zambia..
How much Tanzanian Shillings can buy me one million Zambian kwacha..
Nimejaribu kugoogle sijapata maelezo mazuri ..
Kingine..kwa mnaoishi Zambia..One million kwacha zitanitosha kukaa comfortable at Lusaka kwa hiyo wiki moja?
With much thanx in advance
OK asante sana mzee I used yo think Kwacha inaizidi Tzs for like 2.5 times so I thought it could be like 2.5 million tzs1,000,000 Zambian Kwacha equals
224,628,111.29Tanzanian Shilling
(Zambia kuna kitu waliifanyia sarafu yao kuiongezea thamani hivyo kwa sasa 1 usd = 10.14 Zambian kwacha)
Kwakifupi 1 million kwacha ni hela nyingi sana hata kwa matumizi ya miaka 5
Sikujua kama hela ya Zambia IPO juu hivyo..No wonder wafanyaniashara wengi pale Tunduma wanakimbilia Nakonde Zambia coz nasikia hata mzunguko wao upo juu na purchasing power IPO juu pia1,000,000 Zambian Kwacha equals
224,628,111.29Tanzanian Shilling
(Zambia kuna kitu waliifanyia sarafu yao kuiongezea thamani hivyo kwa sasa 1 usd = 10.14 Zambian kwacha)
Kwakifupi 1 million kwacha ni hela nyingi sana hata kwa matumizi ya miaka 5
OK poa bro but maisha ya Zambia yakoje kwa ujumla ? Kwa MTU anaetaka kuinvest in Zambia ? Uchumi wao upo vizuri? Wananchi wana hela ?Mkuu beba kwacha na US dollars. Usiende na kwacha tupu. Kama utapitia Tunduma utakatisha Nakonde, Joseph Simumba, Papote kuelekea Isoka au kukatia Kapiri. Lakini pia kama una usafiri binafsi jiandae na rushwa traffic wa Zambia hawakosi kukupa kosa.
Watu wa mambo ya fedha wanaita currency debasing... kwacha ipo juu..mtoa mada alidhani ni ile kwacha ya zamani...1,000,000 Zambian Kwacha equals
224,628,111.29Tanzanian Shilling
(Zambia kuna kitu waliifanyia sarafu yao kuiongezea thamani hivyo kwa sasa 1 usd = 10.14 Zambian kwacha)
Kwakifupi 1 million kwacha ni hela nyingi sana hata kwa matumizi ya miaka 5
Yes tena kuna wakati ilikuwa 210TZSDu maana yake sh moja ya Zambia equals to sh 200 ya Tz ?
Fursa zipo nyingi sana ila sheria yao kuajiri mtu kutoka nje ni ngumu sana na ukisema uajiri wa Zambia ni wavivu hakuna mfano na sheria zao zinawalinda sana. Kama una nia ya kuwekeza kalisome soko lao halafu usimamie biashara zako mwenyewe. Kama utakua na mtaji mkubwa hakikisha unaajiri watu wenye asili ya Tanzania wanaoishi Zambia.OK poa bro but maisha ya Zambia yakoje kwa ujumla ? Kwa MTU anaetaka kuinvest in Zambia ? Uchumi wao upo vizuri? Wananchi wana hela ?
Asante sana bro and vipi kuhusu purchasing power ya wananchi? Pia kuhusu usalama wa wageni na Mali zao?Fursa zipo nyingi sana ila sheria yao kuajiri mtu kutoka nje ni ngumu sana na ukisema uajiri wa Zambia ni wavivu hakuna mfano na sheria zao zinawalinda sana. Kama una nia ya kuwekeza kalisome soko lao halafu usimamie biashara zako mwenyewe. Kama utakua na mtaji mkubwa hakikisha unaajiri watu wenye asili ya Tanzania wanaoishi Zambia.