Nataka kununua Zambian kwacha milioni moja

Nataka kununua Zambian kwacha milioni moja

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Heshima mbele wakuu..Nina safari ya Lusaka Jumatano ijayo ambako nitakaa kwa wiki moja.

Ni nataka kununua kwacha milioni moja ambazo nitazitumia kama pocket money kwa kipindi chote nitakacho kuwa Zambia..

How much Tanzanian Shillings can buy me one million Zambian kwacha..
Nimejaribu kugoogle sijapata maelezo mazuri ..

Kingine..kwa mnaoishi Zambia..One million kwacha zitanitosha kukaa comfortable at Lusaka kwa hiyo wiki moja?

With much thanx in advance
 
hii calculator inasema kweli? kama ukibadilisha milioni moja ya zambia kuja pesa za madafu inakuja hii?

IMG_20180520_101548_679.JPG
 
1,000,000 Zambian Kwacha equals
224,628,111.29Tanzanian Shilling
(Zambia kuna kitu waliifanyia sarafu yao kuiongezea thamani hivyo kwa sasa 1 usd = 10.14 Zambian kwacha)
Kwakifupi 1 million kwacha ni hela nyingi sana hata kwa matumizi ya miaka 5
 
Heshima mbele wakuu..Nina safari ya Lusaka Jumatano ijayo ambako nitakaa kwa wiki moja.

Ni nataka kununua kwacha milioni moja ambazo nitazitumia kama pocket money kwa kipindi chote nitakacho kuwa Zambia..

How much Tanzanian Shillings can buy me one million Zambian kwacha..
Nimejaribu kugoogle sijapata maelezo mazuri ..

Kingine..kwa mnaoishi Zambia..One million kwacha zitanitosha kukaa comfortable at Lusaka kwa hiyo wiki moja?

With much thanx in advance
Mkuu, kumbuka Kwacha ina thamani kubwa kuliko Tzs, sasa hicho kiasi kikubwa cha Kwacha zote za nini ?
 
1,000,000 Zambian Kwacha equals
224,628,111.29Tanzanian Shilling
(Zambia kuna kitu waliifanyia sarafu yao kuiongezea thamani hivyo kwa sasa 1 usd = 10.14 Zambian kwacha)
Kwakifupi 1 million kwacha ni hela nyingi sana hata kwa matumizi ya miaka 5
OK asante sana mzee I used yo think Kwacha inaizidi Tzs for like 2.5 times so I thought it could be like 2.5 million tzs
 
1,000,000 Zambian Kwacha equals
224,628,111.29Tanzanian Shilling
(Zambia kuna kitu waliifanyia sarafu yao kuiongezea thamani hivyo kwa sasa 1 usd = 10.14 Zambian kwacha)
Kwakifupi 1 million kwacha ni hela nyingi sana hata kwa matumizi ya miaka 5
Sikujua kama hela ya Zambia IPO juu hivyo..No wonder wafanyaniashara wengi pale Tunduma wanakimbilia Nakonde Zambia coz nasikia hata mzunguko wao upo juu na purchasing power IPO juu pia
 
Mkuu beba kwacha na US dollars. Usiende na kwacha tupu. Kama utapitia Tunduma utakatisha Nakonde, Joseph Simumba, Papote kuelekea Isoka au kukatia Kapiri. Lakini pia kama una usafiri binafsi jiandae na rushwa traffic wa Zambia hawakosi kukupa kosa.
 
OK poa bro but maisha ya Zambia yakoje kwa ujumla ? Kwa MTU anaetaka kuinvest in Zambia ? Uchumi wao upo vizuri? Wananchi wana hela ?
 
1,000,000 Zambian Kwacha equals
224,628,111.29Tanzanian Shilling
(Zambia kuna kitu waliifanyia sarafu yao kuiongezea thamani hivyo kwa sasa 1 usd = 10.14 Zambian kwacha)
Kwakifupi 1 million kwacha ni hela nyingi sana hata kwa matumizi ya miaka 5
Watu wa mambo ya fedha wanaita currency debasing... kwacha ipo juu..mtoa mada alidhani ni ile kwacha ya zamani...
 
OK poa bro but maisha ya Zambia yakoje kwa ujumla ? Kwa MTU anaetaka kuinvest in Zambia ? Uchumi wao upo vizuri? Wananchi wana hela ?
Fursa zipo nyingi sana ila sheria yao kuajiri mtu kutoka nje ni ngumu sana na ukisema uajiri wa Zambia ni wavivu hakuna mfano na sheria zao zinawalinda sana. Kama una nia ya kuwekeza kalisome soko lao halafu usimamie biashara zako mwenyewe. Kama utakua na mtaji mkubwa hakikisha unaajiri watu wenye asili ya Tanzania wanaoishi Zambia.
 
Watu wa mambo ya fedha wanaita currency debasing... kwacha ipo juu..mtoa mada alidhani ni ile kwacha ya zamani...
Kabisa unajua zamani hadi kulikuwa na msemo unajiona dola kumbe kwacha
 
Fursa zipo nyingi sana ila sheria yao kuajiri mtu kutoka nje ni ngumu sana na ukisema uajiri wa Zambia ni wavivu hakuna mfano na sheria zao zinawalinda sana. Kama una nia ya kuwekeza kalisome soko lao halafu usimamie biashara zako mwenyewe. Kama utakua na mtaji mkubwa hakikisha unaajiri watu wenye asili ya Tanzania wanaoishi Zambia.
Asante sana bro and vipi kuhusu purchasing power ya wananchi? Pia kuhusu usalama wa wageni na Mali zao?
 
Karibu sana Zambia [emoji1268] mkuu.usikose kuwekeza kwa namna yyte ile nchi hii njoo fanya utafiti wa aina ya biznes yako pia iendane na mtaji wako.
Kuhusu usalama na mali zetu tuko salama salmini hapa. Uwekezaji wako uwe na usimamizi wako kwa [emoji817] mwenyewe.
Kuna mchangiaji mmoja hapo kasema kuwa hawa watu ni wavivu sana nikweli kabisa. Ndio unatakiwa upige gape nao hapo kaza mwanzo mwisho.
Sisi kama familia tumewekeza MONGU (Zambia)kwenye HOTEL na APARTMENT.
Baaada ya mambo kwenda vzr ndio tumekuja kuwekeza LUSAKA katika sector hii pia.
Ujenzi unaendelea kwa neema na nguvu za bwana vzr. Kwa lusaka tumeanza na HOTEL kwanza.
IMG_2096.JPG

IMG_2093.JPG

IMG_2095.JPG

IMG_2132.JPG

Bado hii ya lusaka haijakamilika tuombe uzima.
Baadhi ya milango ya kwenye master itakua kama hv.
Video ya milango imenishinda kuiweka hapa ila iko poa.nikija jenga kibanda changu TZ lazima niweke huu mlango kwenye chumba cha masta.
Vitu vingi tuna toa tanzania [emoji1241] na uturuki pia china [emoji630] vitu vya ndani katika hotel na apartment.
Kwa sasa niko mongu nje ya lusaka nikijiandaa na safari mojo tena kwa mara nyingine katika nchi za Africa mashariki na kati. Katika kutafta uwekezaji mdogo kwa wengi wa wananchi wa nchi wanachama.
Karbu Zambia [emoji1268]
 
Kwanza kabla ya kuanza safari yako ujue kua gharama za Hotel nchini zambia ziko juu kuliko Tanzania. Mahotel kama Protea, Intercontinental, Golden peacock au Radisson blu bei za chumba ni kuanzia 25k tsh. Mahotel ya kawaida chuma kizuri sehemu salama ni kama 70k tsh. Zambia ni sehemu nzuri kwa uwekezaji wazambia ni wavivu sana, ukianzisha shughuli zako jaribu kuajiri raia wenye asili ya mataifa ya nje kama Tanzania, Rwanda, Congo au Malawi.
 
Ukiwa na 1m tsh unapata kama 4.4m zmk.
 
Back
Top Bottom