Nataka kunyoa nyusi

Dunia simama nishuke hapo Kituo kinachofuata sijajua tunaelekea wapi.
 
Hebu tuwekee picha ya nyusi zako. Yawezekana nikaelewa.
 
Ukiachana na kuzuia jasho pia taswira nzuri ya binadamu ni nyusi sasa ukizinyoa maana yake utakuwa kama alien/Jini, sio binadam wa kawaida watu watakuogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…