Nataka kunyoa nyusi

Nataka kunyoa nyusi

Habari!!

Mimi ni mwanaume rijali lakini kisema ukweli mimi sipendi nyusi na nafikiria kwenda kuzinyoa.

Najua inaweza leta tafsiri mbaya lakini kwa kweli mimi nachukia nyusi ni bora tu nizitoe.
He he he kazi kweli kweli
 
Ukishamaliza kunyoa za huko jui naza chini kabisa pumbu zitakutuma unyoe alafu baadae utaanza kutamani wanaume za watu@worldboss,
 
Dunia simama nishuke mweeh! Mwanamume rijali ana muda wa kukaa kwenye kioo na kuangalia nyusi zimekaaje????? mweeeh...
 
Back
Top Bottom