nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Rijali ananyoa nyusi wapi na wapi? Na Dada zako watanyoa nn? Any way hebu nyoa halafu utupie kapicha hapa tuone ulivyopendeza!Hawawezi kunifwata sababu mimi ni rijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rijali ananyoa nyusi wapi na wapi? Na Dada zako watanyoa nn? Any way hebu nyoa halafu utupie kapicha hapa tuone ulivyopendeza!Hawawezi kunifwata sababu mimi ni rijali
Mi sizipendi tu.... sio issue ya kupendezaRijali ananyoa nyusi wapi na wapi? Na Dada zako watanyoa nn? Any way hebu nyoa halafu utupie kapicha hapa tuone ulivyopendeza!
Privacy mzeePicha ya Before and After plz.
Sizipendi tuZimekuwa nzito au
Mi mwanaume
He he he kazi kweli kweliHabari!!
Mimi ni mwanaume rijali lakini kisema ukweli mimi sipendi nyusi na nafikiria kwenda kuzinyoa.
Najua inaweza leta tafsiri mbaya lakini kwa kweli mimi nachukia nyusi ni bora tu nizitoe.