Nataka kuoa: Awe na sifa hizi

Nataka kuoa: Awe na sifa hizi

Tukionana atahiyari kunikubali au kuniacha. Lakin mimi ni kijana mtanashati na handsome mwenye elimu ya wastani - Masters, naishi U.S.A. Nina umri wa miaka 30. Msichana awe na umri usiozidi miaka 25.

Si ujisevie black America, au ulishaitwa nyani na wewe?
 
Tukionana atahiyari
kunikubali au kuniacha. Lakin mimi ni kijana mtanashati na handsome
mwenye elimu ya wastani - Masters, naishi U.S.A. Nina umri wa miaka 30.
Msichana awe na umri usiozidi miaka 25.
ushapata?
 
Tumeanza mwaka mpya WA 2014, natamani kuuanza nikiwa na mchumba. Kesho narudi zangu US.A baada ya sikukuu. Naendelea kukaribisha pm za skins dada warembo. This is serious, I need a wife....
 
Back
Top Bottom