Brytonzablon
Member
- Oct 31, 2017
- 66
- 41
Atakuwa ni handsome ngoja tuassume [emoji4][emoji4][emoji4]We mwenyewe ni handsome onyinyee
Ebu atuwekee pic kwanzaAtakuwa ni handsome ngoja tuassume [emoji4][emoji4][emoji4]
Pic si hiyo kachuchumaa shunie jamani au wataka nyingineEbu atuwekee pic kwanza
Wakunyumba changamka mchumba huyoWe mwenyewe ni handsome onyinyee
Ahahhaha ngoja wakuje mabeautiful onyinye me na hii sura ya babu mzaa baba huyu wakunyumba si atakuja kunikimbia na kunianzishia muthreadWakunyumba changamka mchumba huyo
Kumbe ni yake ebu ngoja niiangalie vizuriPic si hiyo kachuchumaa shunie jamani au wataka nyingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Huyo msukuma wakunyumba ni hiyo rangi yako atakuhonga mpaka pumziAhahhaha ngoja wakuje mabeautiful onyinye me na hii sura ya babu mzaa baba huyu wakunyumba si atakuja kunikimbia na kunianzishia muthread
Ahahhah wa kunyumba umejuaje kama ni msukuma au sababu ya hilo pozi la kuchuchumaa kwenye gari ya shemeji yake awe nazo sasa za kunihonga sio msukuma jina teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Huyo msukuma wakunyumba ni hiyo rangi yako atakuhonga mpaka pumzi
Eeeh kwenye ile siredi kachuchumaa kasema yuko Mwanza.. kwa ile picha sidhaaaani kama anaweza kukuhonga labda akuhonge moyo wakeAhahhah wa kunyumba umejuaje kama ni msukuma au sababu ya hilo pozi la kuchuchumaa kwenye gari ya shemeji yake awe nazo sasa za kunihonga sio msukuma jina teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moyo wake abaki nao mwenyewe kumbe ana thread nyingine ujue wanajijua kama wapo fb kumbe jf ni ulimwengu tofautiEeeh kwenye ile siredi kachuchumaa kasema yuko Mwanza.. kwa ile picha sidhaaaani kama anaweza kukuhonga labda akuhonge moyo wake
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moyo wake abaki nao mwenyewe kumbe ana thread nyingine ujue wanajijua kama wapo fb kumbe jf ni ulimwengu tofauti