Nataka kuoa beatful onyinyee ase

Nataka kuoa beatful onyinyee ase

Ahahhaha ngoja wakuje mabeautiful onyinye me na hii sura ya babu mzaa baba huyu wakunyumba si atakuja kunikimbia na kunianzishia muthread
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Huyo msukuma wakunyumba ni hiyo rangi yako atakuhonga mpaka pumzi
 
Ahahhah wa kunyumba umejuaje kama ni msukuma au sababu ya hilo pozi la kuchuchumaa kwenye gari ya shemeji yake awe nazo sasa za kunihonga sio msukuma jina teh
 
Eeeh kwenye ile siredi kachuchumaa kasema yuko Mwanza.. kwa ile picha sidhaaaani kama anaweza kukuhonga labda akuhonge moyo wake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moyo wake abaki nao mwenyewe kumbe ana thread nyingine ujue wanajijua kama wapo fb kumbe jf ni ulimwengu tofauti
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom