Nataka kuoa ila masharti magumu

sio jukumu la mke unayekwenda kumwoa kulelea watoto uliowazaa zamani.....ni jukumu lako kuwalea hao watoto wakiwa kwa mama zao...... hebu jiulize unampata binti wa miaka 25 unampachika majukumu ya kulea watoto 4 wenye umri karibu na wakwake ataweza kweli
 
Kaka we kondomu ulikuwa huzioni au? Mitoto mi4 unataka umpelekee msichana mbichi huoni aibu au? Zaa tu nje manake ndio utaratibu wako wa maisha.

kondomu....mmm...huku ughaibuni hazikuepo....ukibahatika kuzipata basi baada ya tendo unaziosha na kuzianika kutumika wakati mwingine. bahati mbaya zilipatikana tu na matajiri tena kwa bei ya juu. pili sioni tofauti kati ya msichana mbichi na aliyezaa...matunzo baba yatosha kumbadilisha mtu nami nipo tayari
 

Ina maana kwa sasa nawe uko kwenye hiyo boarding school?
 

Mshauri basi afanyeje?
 

ni kweli blackee ila ila msichana wa miaka 25 nimempisha kwa miaka 6 which is ok ambao watoto ni kama wake. ijapo kuwa mwanangu wa kwanza mkubwa lakini sio kiasi cha kutisha( 12yrs considerable). sitaki anilelee watoto ila kuna maids naweza kuajiri isipokua nataka wanangu nikae nao under one roof
 
man, nafikiri haupo serious, situation kama hizi zinatokea haswa ukizingatia situation niliyokua nayo ya ustudent. sasa mimi m2mzima nataka kusttle

man nadhani wewe ndio haupo serious...ugumu wa wewe kuoa umeuleta mwenyewe so usitake kumlaumu yoyote kwa kutokuwa serious hapa.
 
man nadhani wewe ndio haupo serious...ugumu wa wewe kuoa umeuleta mwenyewe so usitake kumlaumu yoyote kwa kutokuwa serious hapa.
ok basi inamaanisha huu ndo mwisho wangu wa maisha? sitapata kipusa wa miaka 25-28?
 
ahahahahahah...hii yako sasa kichekesho. mimi sina malaria dogo ni hali halisi ilivyo. nina miaka 3 sijaloweka kwa yeyote. mfano mwezi jana nilichukua likizo sikwenda popote ila ulikua wakati wangu mzuri wa kutafakari na kujisaili na jibu nimepata. nataka kuoa mke na wala sitaki MWANAMKE WA KUMFANYIA TESTING KAMA GARI KABLA HUJALINUNUA. niko serious na sifanyi mzaha beste. hai na hai mbuya..ngiaria tiki mwanamae
 
Umeshapima UKIMWI kama hujapima inabidi ukapime manake wanawake wanne tofauti wote hujatumia condomu kavukavu inatisha
 

asante kaka. ubarikiwe sana. nimetulia huu mwaka wa 3 simjui yeyote. stress hazikunipa raha ya ngono. nimezoea. I PROMISE HAITATOKEA ongezeko na ikitokea basi ni kwa niliyempata wangu wa ndoa ambaye nitamtambulisha hapa hapa jamvini.
 
Umeshapima UKIMWI kama hujapima inabidi ukapime manake wanawake wanne tofauti wote hujatumia condomu kavukavu inatisha
ureni nadhani wewe unaogopa ukimwi sana kuliko Mungu kwasababu ukimpenda Mungu ndo chanzo cha kila bora. mimi si mgonjwa wa aina yoyote. uhakika upo. certificate ya FBP ninayo na ndo maana nataka KUOA SASA
 

Hapo bold nimepapenda lazima upende wanao bwana. Kuhusu kuoa mh! inabidi uvute subira maana mtu akisikia watoto wanne lazima astuke kidogo. Ila hakuna linaloshindikana utapata tu ubavu wako.
 
jiulize nani bora kati ya mke na watoto ukipata jibu utajua la kufanya.
 

Itakuwa vigumu kwa kizazi hiki labda kile cha 47 walikuwa na upendo tofauti ... wasichana wa dot com akulele watoto 4 mmmmmhhh.... ...... umesema pesa sio shida unazo haswa kuwa mwangalifu unaweza mpata mke kutokana na pesa zako akakubali kuolea na wewe pamoja na kuwalea hao watoto lakini mwisho wa siku utapata habari yako hao watoto utatamani ungewaacha kwa mama zao..... Mwombe Mungu akujalie mke mwema atakaye kubaliana na majukumu hayo....nakushauri usiwe na haraka ya kuoa hata pamoja na umri unazidi kwenda panga mambo yako kwanza kuhusu malezi/future ya watoto
 
asante kaka. ubarikiwe sana. nimetulia huu mwaka wa 3 simjui yeyote. stress hazikunipa raha ya ngono. nimezoea. I PROMISE HAITATOKEA ongezeko na ikitokea basi ni kwa niliyempata wangu wa ndoa ambaye nitamtambulisha hapa hapa jamvini.
mi mdada wewe!
 
hahaha! Mentor unamcheka mwendhio yakija kukukuta...utashaaa!

Haha..ati ntashaa..na nani!??
nishaacha uzinzi mwenzio and thank God sikupata hiyo punishment (ndiyo naiita punishment...refer charndams's situation)...sasa hivi nimetulia..av seen my miss right, we just taking our sweet time towards a lifetime together!!!
Sasa huyu mara nne!?? kweli??? hauwezi kuwa haujalew..
Chonde chonde...Ulevi, noma!lol
 
hawataki kuletewa watoto wa nje maana inaonekana wewe ni kiwembe so unaweza kuwajazia timu toka out.....Badirika kwanza then ndio uchukue hiyo hatua. watoto 4 kila mmoja na mama yao sio poa.


kwa taarifa yako wanaume viwembe huwa hawajiachii kwa kuza ovyo ovyo hivyo............................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…