king Boy Sela
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 376
- 266
Aya munafikkuna thalathaDhaaa!! Utumbo utumbo tu
Ilimrad uz umeanzishwa
Wewe je umekua?Kua kwanza.
Hujaitwa humuYuko holiday ya wiki 3 kuanza semister nyingine bas humu ndani ni shida tupu
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Cc jini
Anzisha wewe hiyo thread ya maana tuone kama utapata replies hata 10Shida tupu kwa kweli
Wamalize hzo holiday zaovtu
tupate thread za maana
Huu utumbo uishe
Unapenda mteremko weweWakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi
1)Majini hayachepuki
2)Majini hayaombi hela
3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi
4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa
5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia
6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru
Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza
Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile
Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani
Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa??Utotoni raha sana
Chicken headKwani huku kuna majini?
Dhh!! Yule mwalim cjui akoAya munafikkuna thalatha
simtaki yesu wako muite akusaidie weweUnajua kama jini ni shetani? Umuoe kabisa shetani? Umeharibikiwa kiasi hiki?. Chukua biblia muite Yesu akunusuru!
Sawa nitashukuruNi pm namba yako ntakusaidia
Kaa mbali...Kwani ni lazima unielewe?
Sio lazima kuchangia kila uzi
Uzi zingine uwe unapita kimya kimya
OkKaa mbali...
Unatafuta umaarufu wa kijinga jinga!!
Ha haa haa unadhan ntakurupukaAnzisha wewe hiyo thread ya maana tuone kama utapata replies hata 10
Namsikitia LadyAJ alitaka kukwaa bonge la kichaa na mume wake angemfukuzaHaha we una matatizo ya akili si bure
okHa haa haa unadhan ntakurupuka
Kama ww nn mkuu kuandika
Shagalabagala ilimrad uz umeenda
Hewan