NATAKA KUOA MFANYAKAZI WA JF

NATAKA KUOA MFANYAKAZI WA JF

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi?
Nimevutiwa sana na utendaji na umakini wa wafanyakazi wa JF, kama kuna mfanyakazi wowote aidha invisible, mods, admin nk wakike ambaye yupo singo anitafute PM'
Kwani hawa wafanyakazi hawna hasira, wavumilivu, wapo makini sasa nikimpata mmoja hata ndoa yetu na familia itakuwa makini sana. Kipato chango kwa mwezi ni kama US $720 (dola 720)
Nadhani ombi langu litapatiwa ufumbuzi
 
Walivyozizoea ban, siku mkizinguana unapigwa life ban.
Pia ukienda nje ya box ndoa napigwa ban ya karne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom