Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
- Thread starter
- #21
Hapana ni kupanua wigo tuwe jamaa inaoneka weni mhaya ww so kwa mbwembwe hzo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni kupanua wigo tuwe jamaa inaoneka weni mhaya ww so kwa mbwembwe hzo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
WAMFIKIRIE MARA NGAPI NAKATI TAYARI WAMESHAANZA KUTIRIRIKA NA SMS KIBAO KWENYE PM YA MTOA MADA?Wamekusikia bila shakaaa watakufikiria Mkuu
Habari wanajamvi?
Nimevutiwa sana na utendaji na umakini wa wafanyakazi wa JF, kama kuna mfanyakazi wowote aidha invisible, mods, admin nk wakike ambaye yupo singo anitafute PM'
Kwani hawa wafanyakazi hawna hasira, wavumilivu, wapo makini sasa nikimpata mmoja hata ndoa yetu na familia itakuwa makini sana. Kipato chango kwa mwezi ni kama US $720 (dola 720)
Nadhani ombi langu litapatiwa ufumbuzi
Wako kimya kinoma sijui hawajauona huu uzi, kama mna namba zao nipeni niwachekWAMFIKIRIE MARA NGAPI NAKATI TAYARI WAMESHAANZA KUTIRIRIKA NA SMS KIBAO KWENYE PM YA MTOA MADA?
HIVI UNAWAJUA WABONGO VIZURI AU UNAWASIKIA PANAPO SWALA LA MASILAHI/PESA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuInawezekana nikawa na bahati, nikishinda hapa lazima nikacheze tatu mzuka