Nimeoa na nina mtoto na dini yangu inaniruhusu kuoa mke mwingine kuna mwanamke nampenda sana niliwah kuwa nae kwenye mahusiano zamani ila nae alisha olewaga akapata na mtoto ila wakashindwana na mwenzie kwaiyo sasa yupo tu nataka kumuoa na uwezo wa kuwahudumia wote ninao