Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 413
- 1,868
DAIMA Hauwezi kufanikiwa mahali ambapo Mwanaume mwenzako ameshindwa. Acha kujiona Special.kuna mwanamke nampenda sana niliwah kuwa nae kwenye mahusiano zamani ila nae alisha olewaga akapata na mtoto ila wakashindwana na mwenzie kwaiyo sasa yupo tu nataka kumuoa na uwezo wa kuwahudumia wote ninao
Mwanamke aliyekuacha akaenda kuolewa, kisha ameachika na wewe unataka umuoe. Hilo ni BONGE LA KOSA.
Usipoelewa maneno haya basi Mazingira yatakufundisha vizuri zaidi.